Header Ads

Responsive Ads Here

TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI

Mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akilakiwa na Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum, Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi alipowasili kwa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo akiongea machache kabla kumkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa tatu kushoto) kufungua semina ya siku mbili ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka (kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Rasilimali watu, Dkt. Amos Ibrahim, Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akiongea na wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka (kulia) ni Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum, Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi, Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Isaya Jairo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja. 
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za serikali wakijisajili tayari kushiriki katika semina ya siku mbili ya mafunzo ya kuongenzwa uelewa wa maswala ya kodi jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 4 2017. 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (katikati) akiwa katika picha ya pamoja watendaji waandamizi wa TRA, Chuo cha Kodi, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na washiriki wa semina hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa washiriki wa semina hiyo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo katika viwanja vya Chuo cha Kodi Mikocheni jijini Dar es Salaam alifanya ufunguzi semina ya siku mbili kwa wahasibu wa wakaguzi wa Taasisi za ummaa Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Kodi wa TRA,  Michael Muhoja.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akiongea na wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka (kulia) ni Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum, Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi, Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja. 
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. 
Meneja ukaguzi wa mahesabu ya kodi wa TRA, Beatus Mchota akitoa mada kwa wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.

No comments