Header Ads

Responsive Ads Here

TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA KIGOMA WIKIENDI HII
Wasanii Ben Pol na Jux wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘Nakuchana’ kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma usiku wa kuamkia jumatatu.
Aslay akiburudisha wakazi wa Kigoma


Msanii Chege na Nandy wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘kelele za chura’kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani  Kigoma usiku wa kuamkia jumatatu.Darasa akiburudisha wakazi wa Kigoma 


Wasanii Stamina na Maua sama wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma


Mr blue akipagawisha umati  wa wakazi wa kigoma Msanii wa Bongo flea Ommy Dimpoz akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma


Roma Mkatoliki akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma


Roma mkatoliki akiburudisha umati wa wanakigoma waliojitokeza katika viwanja vya Lake Tanganyika.


Young D akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo fiesta
No comments