Header Ads

Responsive Ads Here

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI MBEYA


Msanii Ali Kiba akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya City Pub jjjini Mbeya usiku wa kuamkia Jumamosi.

Ommy dimpoz akiimba pamoja na mashabiki zake katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.

Benpol akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.

Wasanii Jux, Nandy,Maua Sama na Ben Pol kwa pamoja wakiwa kwenye jukwaa la Tigo fiesta lililofanyika viwanja vya City Pub jijini Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.
Vanesa Mdee akiwa katika Jukwaa  la Tigo Fiesta mkoani Mbeya 

No comments