Header Ads

Responsive Ads Here

SSRA YATOA MAFUNZO KWA WASHIRIKI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA


IMG_0375

IMG_0377
Mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika -Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa elimu kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
IMG_0412
Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika (hayupopichani) wakati akitoa mada kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa wananchi.
IMG_0431
Bibi. Agnes Lubuva, Afisa Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu kazi na wajibuwa SSRA katika kusimamia Hifadhi ya Jamii nchini.
IMG_0433
Muonekanowa Banda la MamlakayaUsimamizinaUdhibitiwaSektayaHifadhiyaJamii (SSRA), katikaMaadhimishoya Wiki yaFedhayanayoendeleakatikaViwanjavyaMnaziMmojajijini Dar es salaam.
Pichazotena: Thomas Nyindo

No comments