Header Ads

Responsive Ads Here

“SHULE ZENYE WANAFUNZI ZAIDI YA ELFU TATU ZINATAKIWA KUTAFUTIWA MAENEO YA KUJENGWA SHULE MPYA”PROF MSANJILA


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila  akizungumza na wanafunzi wa shule ya watoto wenye uhitaji maalum ya Mbugani iliyopo Wilayani na Mkoani Geita.


Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita Mhandisi Modest Aporinaly Akizungumza na kuelezea hali ya elimu ilivyo Mkoani Geita.

Mwl Huruma Yusuf akielezea namna ambavyo wamekuwa wakiwafundisha wanafunzi ambao wanauhitaji na vifaa ambavyo wanafundishia wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na
Teknolojia Prof, Simon Msanjila alipokuwa akitembelea na kujionea vifaa hivyo vya kufundishia.
 


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na
Teknolojia Prof. Simon Msanjila  pamoja na Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa chuo kikuu huria tawi la Geita wakizungumza kwenye ofisi yake wakati alipotembela chuoni Hapo.Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akiwatunza watoto ambao wanasoma kwenye shule ya watoto wenye uhitaji maalum wakati walipokuwa wakiimba.


Na Joel Maduka wa Maduka Online.

No comments