Header Ads

Responsive Ads Here

SHULE YA WASICHANA YA WAJA YAWAKABIDHI MAGARI MAWILI YENYE ZAIDI YA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 22 WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KWENYE MASOMO YA SAYANSI KIDATO CHA SITA MWAKA HUU


Gari mbili aina ya IST yenye thamani ya  shilingi milioni 22 yakiwa yamepakiwa nje ya shule hiyo yakisubiliwa kukabidhiwa kwa wanafunzi hao.Mwanafunzi ambaye amezwadiwa gari Edina
Davis ambaye katika matokeo ya kitaifa alishika nafasi ya Tisa  akijaribia gari yake.


Mgeni Rasmi ambaye yupo katika Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi ,Teknolojia na Ufundi Profesa Simon Msanjila akikata utepe kwaajili ya kuwakabidhi magari wanafunzi hao.
 

Mwanafunzi Bihera Kabaruka ambaye alikuwa mshindi wa pili kati ya wanafunzi kumi ambao wamefanya vizuri katika mtihani wa Taifa wa kidato cha Sita.


Mkurugenzi
wa Shule binafsi za WAJA zilizopo Mkoani Geita Mhandisi  Chacha Wambura  akiwakilisha taarifa ya shule hiyo kwa 
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi ,Teknolojia na Ufundi Profesa Simon Msanjila

No comments