Header Ads

Responsive Ads Here

SERIKALI YANUIYA KULETA MAPINDUZI KATIKA ZAO LA PAMBA

Selemani Jafo akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu uboreshaji na usimamizi wa Sekta ya Kilimo hususanni zao la Pamba.
2 
Selemani Jafo (mbele) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maboresho za Kilimo hususanni zao la Pamba.


Nteghenjwa Hosseah, Tamisemi Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mhe.Selemani S.Jafo (Mb.) amewataka maafisa ugani nchini kufanyia kazi taaluma zao na kuwajibika ipasavyo ili kuboresha Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kuleta mabaliko chanya.
Mhe.Jafo amezungumza hayo wakati wa kikao chake na waandishi wa habari kuelezea nia ya Serikali katika kuboresha usimamizi wa Sekta ya Kilimo hususanini zao la Pamba ili zao hilo la biashara liweze kuinua pato la mtanzania ambaye anategemea Kilimo katika kujipatia chakula na kipato.
AkizungumzawakatiwakikaohichoMhe. JafoamesemaSerikaliyaawamuyatanochiniyaMhe.Dkt John PombeMagufuliinatakakuletamapinduzikatikakilimokwakuhakikishakuwaMaafisauganiwanawajibikakusimamiauzalishajiwenyetijanawanaelimishawakulimakutumianjiaza bora nakisasakatikamisimuyoteyakilimo.
Aliongezakuwawakulimawenginchinihuzalishamazaoyaokienyeji, hawapatiutaalamukutokakwamaafisauganiambakowapotarkibaniNchihivyouzalishajiunakuaduniambaohaumuezishimwananchikujikomboakutokakatikalindi la umasikinihivyokuanziahivisasamaafisauganiwotewatapimwakutokananamafanikioyawakulimawanaowasimamia.
Mhe. NaibuWaziriJafoalisisitizazaidikufufuakilimo cha zao la Pambamaarufukwajina la Dhahabunyeupeambachokwahivisasazaohilolimepotezathamnainaumaarufu wake hivyoaliwatakamaafisauganikuhakikishawanasimamiamaandaliziyamashambayoteyaPambanakufahamuidadikamiliyamimeainayohitajikakwakilaEkari.
AidhaamewaagizawakuuwotewaIdarazaKilimokuwanampangokazisambambanamipangokaziyamaafisauganiwotewaliochiniyaonakusimamiautekelezajiwamipangokazihiyo.
“kuonekanakwamazaoyaliyopandwabilakufuatataratibukatikamashambayawakulimakwahalmashauriyeyotenidalilitoshakwambaAfisaKilimoMkuuwaHalmashauriameshindwamajukumuyakeyausimamizi, ufuatiliajinautoajiwaelimukwawakulimahivyoatatafutwaAfisamwingineatakayewezakusimiamavyemaeneohilo” AlisemaJafo.
AidhaMhe. JafoalizikumbushaMamlakazaSerikalizaMitaakutoaasimilia 20 kwaajiliyaKilimo, asilimia15 kwenyemifugonaasilimia  5 kwaajiliyauvuvikamazilivyoainishwakwamujibuwamwongozowabajetiyamwaka 2017/2018ilikuboreshasektahii.
NaibuWaziriJafoalimaliziakuwamaelekezohayayausimamiziwaKanuni bora zaKilimoyanapaswakuzingatiwakatikamazaomengine yoteyanayolimwahapaNchini.

No comments