Header Ads

Responsive Ads Here

RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA


Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wanachama wa baraza la
wafanyakazi wa shirika la Bima la taifa leo jijini Arusha mara
alipoalikwa kama mgeni ramsi kufungua kikao cha baraza hilo
kilichofanyika katika ukumbi wa veta jijini Arusha jana

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe na
viongozi wa baraza la wafanyakazi wa shirika la Bima la Taifa leo
katika ukumbi wa Veta jijini hapa mara bada ya kufungua mkutano wa
baraza hilo

Baadhi
ya wanachama wa baraza la wafanyazi wa shirika la Bima la Taifa wakiwa
katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika leo ndani ya chuo cha Veta
jijini Arusha,

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akinyanyua mikono na viongozi wa
baraza la wafanyakazi wa Bima la Taifa leo katika mkutano wa baraza hilo
uliofanyika katika chuo cha Veta jijini Arusha,kushoto kwake ni
mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole.

Mwenyekiti wa bodi ya shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole
aliyeshika kipaza sauti  akizungumza katika mkutano wa baraza la
wafanyakazi wa shirika hilo jana katika ukumbi wa veta jijini
hapa,pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo

No comments