Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI DAR ES SALAAM AKITOKEA ZANZIBAR OKTOBA 15,2017


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka kweneye ndege katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017

2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi.Sophia Mjema mkuu wa Wilaya ya Ilala mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitotokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Kamishina Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw.Richard Mayengo mkuu wa viwanja vya ndege Tanzania  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Bi.Sophia Mjema mkuu wa Wilaya ya Ilala mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
PICHA NA IKULU
………………
index

No comments