Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR ES SALAAM LEO


J0
Waziri wa Madini Angellah Jasmine Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

J1a.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Jumla ya Mawaziri nane na Manaibu 16 wameapishwa pamoja na Katibu wa Bunge.
J1b
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza akitia saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
J2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Stella Alex Ikupa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
J3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Justus Nditiye akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
J4
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Kangi Lugola akipokea hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kula kiapo hicho leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
J5.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Seleman Said Jafo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
b (2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hamisi Kigwangwallah  kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (4)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (5)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (10)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Stephen Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (12)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ikulu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya kumbukumbu na Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya hafla ya kuapishwa  jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (13)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa  Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila huku Jaji Mkuuijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 Profesa Ibrahim Juma na Mhe. Stephen Kagaigai Katibu wa Bunge mpya wakiangalia mara baada ya picha za pamoja kupigwa  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (14)
Spika Job Ndugai akiteta jambo na aliyekuwa  Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila  na Mhe. Stephen Kagaigai Katibu wa Bunge mpya Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (15)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri mara tu baada ya kuwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (16)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba ba`ada ya Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya  kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (17)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi) Mhe. George Mkuchika huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (19)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu  Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Kangi Lugola huku  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (20)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wizara ya Nishati Mhe. Subira Hamisi Mgalu huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (21)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Kilimo Dklt. Mary Mwanjelwa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (22)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri  Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega  huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (23)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (24)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) Mhe. Stella Alex Ikupa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (25)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mhe. Juliana Shonza huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
b (26)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde   huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
J6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo mara baada kumalizika kwa hafla ya kiap oleo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU

No comments