Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK.SHEIN AZINDUA MSIKITI KINYASINI BANDAMAJI “MASJID SAEED AL BWARDY”


DSC_7386
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Viwanja vya Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Saeed Al Bwardy kwa usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob

DSC_7395
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Sheikh Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam pamoja na Viongozi wengine na mashekhe alipofika katika viwanja vya Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy na   uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake AdilYakob,
DSC_7430
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake AdilYakob
DSC_7279
Jengo la Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman
DSC_7401
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bw.Samir Ayoub mmoja wa wanafamilia ya Bw.Yakoub Othman, msimamizi wa ujenzi wa msikiti masjid Saeed Al Buwardy katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini”A”  Mkoa wa Kaskazini Unguja
DSC_7466DSC_7466
Baadhi ya wananchi na Waislamu waliohudhuria katika uzinduzi wa Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman
DSC_7494
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi na Mashekhe mbali mbali mara baada ya kuuzindua Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman
DSC_7505
Baadhi ya wananchi na Waislamu waliohudhuria katika uzinduzi wa Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman,
DSC_7514
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Mashekhe na Viongozi mbali mbali na Waislamu  wakiwa katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam (mbele) baada ya uzinduzi rasmi wa Msikiti Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob Osman
DSC_7590
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa khutba ya uzinduzi wa  Msikiti Masjid Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob
DSC_7602
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa khutba ya uzinduzi wa  Msikiti Masjid Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.

No comments