Header Ads

Responsive Ads Here

PUMA,WAFANYAKAZI WAKE WAINGIA MAKUBALIANO YA MABORESHO YA MASLAHI KAZINI


 Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya Puma Enery Loveness Hoyange akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, Bunge, kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu Jenista Mhagama akizungumza katika hafla hiyo kushoto ni   Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania Philippe Corsaletti na kulia ni Loveness Hoyange Meneja Rasilimali watu Puma Energy .
 Jenista Mhagama Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, Bunge, kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu akishuhudia wakati  Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti kushoto na Katibu Mkuu wa TUICO Taifa, Jonathan Peleshi wakisaini mkataba wa miaka miwili wa maboresho ya haki za wafanyakazi kwa mwaka 2018-2019,  hafla ya utiwaji saini wa mktaba huo imefanyika katika makao makuu ya Ofisi za Puma Energy eneo la Keko jijini Dar es salaam.
 Mh. Jenista Mhagama Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, Bunge, kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu akishuhudia wakati  Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti kushoto na Katibu Mkuu wa TUICO Taifa, Jonathan Peleshi wakibadilishana hati za mkataba huo  wa  maboresho ya haki za wafanyakazi kwa mwaka 2018-2019,  hafla ya utiwaji saini wa mktaba huo imefanyika katika makao makuu ya Ofisi za Puma Energy eneo la Keko jijini Dar es salaam.
            Baadhi ya wafanyakazi na waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo
 Sehemu ya wafanyakazi wa Puna na baadhi ya waandishi wakifuatilia hafla hiyo
 Mh. Jenista Mhagama Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, Bunge, kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu akifurahia jambo  wakati  Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti alipokuwa akisoma risala yake kwa lugha ya kiswahili.
Mkurugenzi Mtendaji wa ATE Dk. Aggrey Mlimuka akizungumza katika hafla hiyo.

No comments