Header Ads

Responsive Ads Here

PrecisionAir Yazindua Safari za Seronera Air Strip Uwanja wa Seronera,Arusha,KIA,Zanzibar na Dar es Salaam

  Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir na abiria  wakishuka katika Ndege kwenye Uwanja wa Seronera jana walipozindua safari za Viwanja vya  Dar es Salaam,  Arusha, Seronera, KIA, Zanzibar na Dar es Salaam

  Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakishuka katika Ndege kwenye Uwanja wa Seronera jana.
 Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakivinjali katika Uwanja wa Seronera jana.
 Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika Uwanja wa Seronera.
 Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Seronera.
 Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Seronera.
 Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Seronera.
 Ndege ya PrecisionAir ikiwa katika Ofisi za Uwanja wa ndege wa Seronera. 

No comments