Header Ads

Responsive Ads Here

NAIBU SPIKA AONGOZA MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA


PIC 1.
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa WAMA Mhe. Salma Kikwete alipowasili katika shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani kwa ajili ya Mahafali ya kidato cha nne ambapo jumla ya Wanafunzi 86 walihitimu masomo yao.

pic 2
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson (katikati), Mwenyekiti wa WAMA Mhe. Salma Kikwete (kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA Dkt. Fennela Mukangara pamoja na Viongozi wengine wa WAMA wakielekea katika eneo la tukio katika shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani kwa ajili ya Mahafali ya kidato cha nne ambapo jumla ya Wanafunzi 86 walihitimu masomo yao.
pic 3
  Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson (wa pili kulia), Mwenyekiti wa WAMA Mhe. Salma Kikwete (wa tatu kulia) na Viongozi wengine wa WAMA wakiangalia jaribio la Kisayansi lililoandaliwa  na Mhitimu wa Kidato cha nne wa shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani .
pic 4
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson (katikati), Mwenyekiti wa WAMA Mhe. Salma Kikwete (wa kwanza kushoto) na Viongozi wengine wa WAMA wakiangalia jaribio la Kisayansi liloandaliwa na Wahitimu wa Kidato cha nne wa shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani .
pic 5
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza wakati wa mahafali ya Kidato cha nne  ya shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani ambapo jumla ya Wanafunzi 86 walihitimu masomo yao.
pic 6
Naibu Spika Bunge Dkt Tulia Ackson (wa tatu toka kulia kwa waliokaa) , Mwenyekiti wa WAMA Mhe. Salma Kikwete (wanne toka kushoto kwa  waliokaa) pamoja na Viongozi wengine wa WAMA (waliokaa) katika picha ya pamoja na Wahitimu wa Kidato cha nne wa  shule ya Sekondari ya  WAMA NAKAYAMA iliyopo Wilayani Kibiti, Pwani ambapo jumla ya Wanafunzi 86 walihitimu masomo yao.
Picha na Ofisi ya Bunge

No comments