Header Ads

Responsive Ads Here

MWENGE WA UHURU WAZINDUA DUKA LA BIMA YA AFYA LA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA JANA

 

 Sehemu ya muonekana kwa ndani duka la Bima ya Afya la Halmashauri ya Jiji la Tanga
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akiwa nje ya duka hilo
akisubiri mapokezi ya mwenge wa uhuru kwenye duka hilo
 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akiwa na watumishi wa
mfuko huo mara baada uzinduzi wa duka hilo katikati ni Macrina Clemence
ambaye ni Afisda Matekelezo wa Mfuko huo na kulia ni
Daktari Luiza
Mtafi
 
 Sehemu ya watumishi
wa

NHIF Mkoani Tanga katikati ni daktari Luiza Mtafi kushoto ni Afisa
Madai NHIF Mary Daniel na kulia ni Afisa Matekelezo,Macrina
Clemence
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kulia akiwa kwenye
picha ya pamoja na Waziri 
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu wakifuatilia uzinduzi huo
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha

No comments