Header Ads

Responsive Ads Here

MOSHY KIYUNGI AWAKUMBUKA YATIMA, AFIKISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE


 Mpigapicha mkongwe wa picha za habari ambaye kwa sasa ni Meneja wa Kituo cha Radio cha Tabora FM Moshy Kiyungi akikabidhi zawadi watoto wa kituo cha Watoto yatima cha Sinza jijini dar es Salaam, jana, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 60 ya kuzaliwa kwake.
 Ustadhi ambaye ni Mkuu wa Kituo hicho cha yatima, akiongoza dua maalum iliyosomwa kabla ya Kiyungi kukabidhi msaada
 Moshi Kiyungi (kulia) akipokea dua
 Kiyungi akiendelea kukabidhi msaada
 Kiyungi akiendelea kukabidhi msaada
 Mkuu wa Kituo hicho akimshukuru Kiyungi
 Mmoja wa watoto wa kituo hicho akibeba katoni ya juisi baada ya Kiyungi kikabidhi msaada huo
Kiyungi na baadhi ya wanafamilia yake wakiwa katika picha ya pamoja na watoto na wafanyakazi wa kituo hicho cha yatima

No comments