Header Ads

Responsive Ads Here

Mkaa wa Mawe Kuepusha Mauaji ya Vikongwe na Kutunza Mazingira


Jonas Kamaleki-MAELEZO
Matumizi ya mkaa wa mawe wa kupikia yatapunguza ukataji miti ovyo na kuepusha uharibifu wa mazingira.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kampuni ya Accaso International Limited, William Kafipa katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii.
Kafipa amesema mkaa wa mawe wa kupikia unatumika kwa kiasi kidogo na unawaka kwa muda wasaa nne mfululizo hivyo kuwezesha mtumiaji kupika vitu vingi kwa mkaa kidogo ukilinganisha na mkaa unaotokana na miti.
“Mkaahuuni bora sananawatuwengiwakiutumiawataachananakukatamitiovyohivyokutunzamazingiranakuepushanchikuwajangwa,”alisemaKafipa.
Aliongezakuwabadalayakutumiaguniamoja la mkaawakuniambalogharamayakenikatiyashilingi 60,000/= na 85,000/=,unawezakutumiaboksimbilihaditatuzamkaawamawekwamatumizisawanaguniahiloambayojumlayakenishilingi 36,000/=.Kwa kufanyahivyomtumiajiataokoafedhayakena pia atatunzamazingirakwanihatalazimikakukatamitiilikupatamkaa.
Kwa upande wake, AfisaMasokonaMauzowaAccaso, Monica Cornelius amesemamkaawamaweutampunguziamwanamkeadhayakutembeamwendomrefukutafutakuniendapoatatumiamkaahuoambaobeiyakeninafuuhatakwamtuwakipato cha chini.
“Mkaahuuhautoimoshijamboambalonizurikwamazingiranakwakwaafyayamtumiaji, hiiitaepusha pia mauajiyavikongweambaowalikuwana macho mekundukutokananakupikiasamadi au kunimbichi,” alisema Monica.
Monica ameongezakuwaakina mama nawatuwenginewaipokeeteknolojiahiimpyayamkaawamawewakupikiailiiwezekubadilishamaishayao.
NayeAfisamasokonaMauzowakampunihiyo, Abdullatif Ramadhaniamesemamkaahuowamaweumeboreshwanaunafaakwamatumiziyanyumbanikwakupikiahatakwenyetaasisikubwakamashule, vyuonamagerezakwaniupokwaviwangotofauti.
“Kwa sasasokoletulipo Dar es Salaamambapotumeanzialakinitunalenganamikoayajiranikama vile Pwani, Morogoro, Tanganamikoaminginehadikuifikiamikoayoteya Tanzania,”alisemaRamadhani.
Akizungumziachangamotokampuniyakeinazokumbananazo, Ramadhaniamasemaniwatukutobadilikanakupokeateknolojiampya. Ameongezakuwabaadhiwanadhanapotofukuwamkaawamaweunawezakutoboasufuriazao, jamboambalosikwelikwanimkaahuoumetafitiwakwa kina,najoto lake ni la wastaniambalohaliwezikuharibusufuria au chombochochote cha kupikia.
Mkaahuuunaotokananavumbi la makaayamaweunawezakutumikakwenyemajikoyakawaidayamkaanaunawakakwamudamrefu, pia nirafikiwamazingiranahaunamadharakwabinadamu.
Hivyowatanzaniawengiwautumieilikuepukaukatajimitikwawingiunaoharibumazingira. Mazingirayakiharibika, ukameunatokeanakusababishaupungufu au ukosefuwachakula.

No comments