Header Ads

Responsive Ads Here

MESSI AONESHA MAAJABU APIGA HAT TRICK NA KUIPELEKA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA NCHINI URUSI 2018


Wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu huku wakiwa na wasiwasi wa kukosa kombe la Dunia 2018 nchini Urusi,timu ya Argentina imefanya maajabu katika uwanja wa Estadio Olimpico Atahualpamjini Quito nchini Ecuador baada ya kutoka nyuma ya kufungwa goli na wenyeji na kusawazishi na kushinda jumla ya magoli 3-1.

Mshambuliaji hatari Duniani kwa sasa katika Ligi tano bora Duniani,Lionel Messi kwa Miguu yake mwenyewe usiku wa Leo atakumbukwa na wananchi wa Taifa la Argentina baada ya kuipeleka nchi hiyo Kombe la Dunia litakalofanyika Urusi 2018 kwa kufunga magoli matatu yaani hat trick.
Akiendelea kuonesha maajabu na kudhihirisha kuwa yeye ni bora kwa Sasa na Duniani kote nyota huyu wa timu ya Barcelona akiwa ameshafunga magoli 11 msimu huu katika La Liga kwa mechi saba alizocheza na Barcelona wakiwa na alama 21.
Ecuador walikuwa wa kwanza kupata goli la mapema lililofungwa na Romario Ibarra dakika ya kwanza goli hilo lilianza kuwaweka katika wakati mgumu na wengine wakiamini kuwa Argentinahawatafuzu kombe la Dunia na dakika ya 12 Di Maria alikimbia na Mpira na kupiga pasi ya maana kwa Lionel Messi aliyeweza kufunga na kuisawazishia timu yake na dakika ya 20 Lionel Messialifanya maajabu baada ya kuwachambua wachezaji wa Eduador na kufunga goli la pili hadi mapumziko wageni walikuwa mbele.
Kipindi cha pili timu zote mbili zilifanya mabadiliko hata hivyo Argentina walinufaika na mabadiliko hayo na dakika ya 62 Lionel Messi tena alipigilia msumari wa tatu na kumfanya kupiga hat trick na uwanja kulipuka kwa shangwe na wengine wakitokwa na machozi ya furaha hadi Mpira mwamuzi kutoka Brazil akipuliza kipyenga cha mwisho Ecuador 1-3 Argentina.
Matokeo Mengine kama Ifuatavyo:
Brazil 3-0 Chile
Paraguay 0-1 Venezuela
Peru 1-1 Colombia
Uruguay 4-2 Bolivia

MATCH DETAILS AND QUALIFICATION TABLES 

Ecuador (4-1-4-1): Banguera; Velasco, Aimar Alvarez, Arboleda, Ramirez; Orejuela; Ibarra, Intriago (Uchuari 77), Cevallos (Valencia 41), Ibrarra Mina; Ordonez Ayovi (Estrada Martinez 64)
Subs not used: Arreaga, Garces, Johnson Mina, Lopez, Murillo, Ortiz, Piedra, Plata
Goals: Ibarra Mina 1
Yellow cards: Cevallos 14
Argentina (3-4-3): Romero; Mercado, Mascherano, Otamendi; Salvio, Perez, Biglia, Acuna; Messi, Benedetto (Icardi 77), Di Maria (Paredes 84)
Subs not used: Banega, Dybala, Fazio, Gomez, Guzman,  Mammana, Marchesin, Perez, Pezzella, Rigoni
Goals: Messi 12, 20, 62
Yellow cards: Acuna 51, Biglia 61, Mascherano 86
Referee: Anderson Daronco (Brazil) 
Lionel Messi netted an incredible hat-trick to help Argentina come from behind in Ecuador and qualify for the 2018 World Cup
The Barcelona forward netted twice in eight first-half minutes as Jorge Sampaoli's side turned the game on its head in Quito
Romario Ibarra put Ecuador in front after only 38 seconds in Quito after Argentina failed to deal with a simple long ball
The home side celebrate their opening goal in front of the Argentina bench. Their lead was short-lived in a dramatic first-half
Messi levelled the scores after 12 minutes following a neat-one two with former Manchester United star Angel Di Maria
On 20 minutes, Messi had turned the game on its head, firing home from the edge of the box to put Argentina 2-1 up
Di Maria and Marco Acuna celebrate with the forward after he put them back on track to qualify for the 2018 World Cup
Messi picked up his 44th career hat-trick with a sublime chip from the edge of the penalty area just after the hour mark
The Barcelona forward points to the sky after scoring the goal that secured his side's qualification for next year's World Cup
Ecuador's goalscorer Ibarra tries to hold off the attention of Argentina defender Gabriel Mercado during the first half in Quito
Ecuador left back Cristian Ramirez leaps over the challenge of former West Ham and Liverpool star Javier Mascherano
Eduardo Salvio battles for possession with Ibarra as the home side looked to end the visitors' hopes of World Cup qualification
The Barcelona forward and Argentina skipper salutes the travelling support following the 3-1 victory over Ecuador 

No comments