Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA KATIBU MPYA WA BUNGE AAPISHWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


pic 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai leo  Ikulu Jijini Dar es Slaam kuchukua nafasi ya aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.

PIC 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli  (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) wakati wa hafla ya kuapisha Mawaziri, Manaibu Waziri na Katibu wa Bunge Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai ambaye amepishwa leo kuchukua nafasi ya Dkt. Thomas Kashililah.
PIC 3
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Katibu wa Bunge aliyeapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto).
PIC 4
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu wa Bunge aliyeapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam Ndg. Stephen Kigaigai (kushoto) na kulia  ni aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments