Header Ads

Responsive Ads Here

MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI


DSC_8409
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia Friji la mbao na Vifaa mbali mbali  mbali vilivyotengenezwa na Jeshi la JKU wakati alipotembelea katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko   Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana  (wa pili kulia) Waziri wa  kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed

DSC_8417
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Meza za Skuli (Madeski) na Makabati yaliyotenmgenezwa na JKU wakati alipotembelea   maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto)  Waziri wa Nchio Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kher
DSC_8456
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Mashine ya kuchambulia Mahindi ya Taasisi ya Kilimo ya EGYPT ZANZIBAR JOINT FARM  wakati alipotembelea  maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) Meneja wa mradi  Dr.Reda Abdalla Abdelaziz
DSC_8474
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi  Dr.Reda Abdalla Abdelaziz,(wa pili kulia) katika Taasisi ya Kilimo ya EGYPT ZANZIBAR JOINT FARM    wakati alipotembelea  maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto)
DSC_8485
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Asali  wakati alipotembelea  banda la JKU katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) 
DSC_8504
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Nahodha Khamis Mnungwi (kulia) kuhusu masuala ya Uvuvi mara alipokuwa akiangalia Samaki  wakati alipotembelea  banda la JKU katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (katikati) Waziri wa  kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed
DSC_8590
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Hoska Gonza Mbilinyi Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Kusimamia Umuhimu wa Bahari Kuu wakati alipotembelea  banda la Taasisi hiyo  katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya  Chakula Duniani huko  Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) Waziri wa  kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed,
Picha na Ikulu.

No comments