Header Ads

Responsive Ads Here

MAO WATOA MSAADA WENYE THAMNI YA TAKRIBANI SH. MILIONI 6


mao 1
Mwenyekiti wa   chama cha Marafiki wa Oljoro (MAO) Bw. Walter Chipeta kushoto akimkabidhi msaada  wa vitu mbalimbali vyenye mahitaji muhimu kwa katibu mtendaji wa Chama cha Kulea Watoto Mayatima (CHAKUWAMA) Bw. Hassan Hamis kulia leo jijini Dar es salaam.

mao 2
Wanachama wa  chama cha Marafiki wa Oljoro (MAO) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baahi ya watoto  wanaoishi katika Chama cha Kulea Watoto Mayatima (CHAKUWAMA) wakati walipotembelea watoto ha oleo jijini Dar es salaam.
Picha na Mpiga Picha wetu.
…………..
Na MwandishiWetuDar es salaam
Chama Cha MarafikiwaOljoro (MAO) wametoamsaadawavitumbalimbaliwenyethamaniyashilingimilioni 6katikaChama cha KuleaWatotoMayatima(CHAKUWAMA) kilichopojijini Dar es salaam.
AkiongeanaWaandishiwahabariwakatiwakukabidhimisaadahiyoleojijini Dar es salaam Mwenyekitiwa MAO Bw. Walter Chipetaamesemakuwawameamuakufanyahivyoilikuwafarijiwatotohaonakuwajengeamaishayenyefuraha.
“Tumeamuakujakutembeleanakutoamisaadakwawatotowetuwaishiokatikakituohikiilikusaidiakutimizamalengoyawatotowetupamojanakuazimishakumbukumbuya Baba waTaifaHayatiMwalimu Julius KambarageNyerere” alisemaBw. Chipeta.
Kwaupande wake MratibuwaTukiohilokutoka MAO Bi. Pamela LwakabareamesemakuwamsaadailiyotolewanipamojanaVyakulanamatunda,vifaavyamichezoyawatoto,mavazi,vyombovyachakula ,vifavyausafinavinywajiamabvyovinathamaniyatakribanishilingimilioni 6.
NayekatibuMtendajiwa CHAKUWAMA Bw. Hassan Hamisamesemakuwaanashukurukwamsadahuokwaniimepunguzagharamayamahitajikwawatotowapatao 64 katikakujikimukilasiku.
MbalinahayoMtotoanayeishikatikakituohikoNasiimKasmal (11) amempongezaRaiswaawamuyatanoDkt. Pombe John Magufulikwakuanzishaelimuburekwaniimewarahisishiawatotowanaoishikatikamazingiramagumukupataelimukwaurahisi .

No comments