Header Ads

Responsive Ads Here

MALUNDE 1 BLOG YATIMIZA MIAKA MITANO TANGU KUANZISHWA KWAKE

SeeBait
Malunde1 blog leo Oktoba 08,2017 inatimiza umri wa miaka MITANO tangu kuanzishwa kwake tarehe 08.10.2012. 


Mwanzilishi: Kadama Malunde 
Mmiliki: Kadama Malunde 
Jina la blog: Malunde1 blog, Fahari ya Shinyanga 
Anuani: malunde.com
Application katika Play store : Malunde 
Uanachama: Tanzania Bloggers Network (TBN) 
Lengo: Kuchapisha habari za ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.

Mgawanyo  wa   Machapisho:Habari,Shinyanga,Matukio,Siasa,Matangazo,Mapenzi,Magazeti,Burudani,Michezo Nyimbo za asili 
Upekee: Habari za Shinyanga kila siku na Nyimbo za asili kila Weekend
Waendeshaji: Waandishi wa habari 
Eneo: Dunia nzima
Mawasiliano: Simu/Whatsapp +255757478553 au 0625918527ASANTE KWA KUENDELEA KUTUAMINI KWA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA KWA MUDA MUAFAKA

No comments