Header Ads

Responsive Ads Here

MAJINA 30 YATAJWA WANAOWANIA TUZO YA BALLON d’Or 2017 ‘MESSI,RONALDO NA NEYMAR KAZI IPO’


France Football ambao ni waandaaji wa tuzo za Ballon d’Or  wametangaza majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo za Ballon d’Or kwa mwaka 2017, majina ya mastaa 30 yametajwa wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wanaoongoza kushinda tuzo hiyo, Lionel Messi akiongoza kwa kutwaa mara tano na akifuatiwa na Cristiano Ronaldo aliyetwaa tuzo hiyo mara nne.
Hii ndio list ya majina 30 ya wachezaji wanaowania Ballon d’Or 2017

No comments