Header Ads

Responsive Ads Here

MAELFU YA WAKAZI WA IRINGA WAJITOKEZA USIKU WA TAMASHA LA TIGO FIESTA WIKIENDI


Wasanii wa kundi la Rostam, Roma na Stamina wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa
Aslay akiimba na mashabiki kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa
Joh Makini akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Iringa
Jux akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Iringa
MauaSama akitumbuiza katika jukwaa la TIgo Fiesta
Nandy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Iringa mapema jumapili iliyopita.
Ommy Dimpoz akitumbuiza wakazi wa Iringa.

Vanessa Mdee akitoa burudani na madansa wake katika jukwaa la Tigo  Fiesta viwanja vya Samora Mkoani Iringa.

No comments