Header Ads

Responsive Ads Here

LOWASSA AMJULIA HALI TUNDU LISSU HOSPITALINI JIJINI NAIROBI, KENYA


Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa amemtembelea na kumjulia hali Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Mhe. Tundu Lissu ambaye anaendelea kupatiwa matibu Nairobi nchini Kenya. Mhe. Lowassa ameongozana mke wake Mama Regina Lowassa.
Mama Regina Lowassa, (kulia0, akizungumza jambo na Mhe. Tundu Lissu.

No comments