Header Ads

Responsive Ads Here

LAPF YAFUNGUA OFISI YA KANDA YA MAGHARIBI MKOANI GEITA


 Naibu waziri wa ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Josephat Sinkamba Akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Kushoto Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga ,Kulia Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Bw Eliud na wa pili kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo la Geita Mji Constatine Kanyasu wakikata utepe kwaajili ya kuzindua ofisi za LAPF kanda magharibi
  


Naibu
waziri wa ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Josephat Sinkamba akiingia kwenye viwanja vya sherehe vya uzinduzi wa ofisi za kanda ya magharibi

No comments