Header Ads

Responsive Ads Here

KILELELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AMANI ZANZIBAR


TA1A1345
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,sambamba na kumbu kumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibl 

TA1A1375
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi mb ali mbali waliohudhuria katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,sambamba na kumbu kumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibleo,
TA1A1406
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume baada ya kumalizika kwa Sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,sambamba na kumbu kumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,leo,
TA1A1425
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) alipokuwa akisalimia  Wananchi mara baada ya kumalizika kwa Sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,sambamba na kumbu kumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,leo,
Picha na Ikulu.

No comments