Header Ads

Responsive Ads Here

KAPTENI MSTAAFU MHE. MKUCHIKA (MB) AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YAKE


1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao kifupi na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya kuapishwa IKULU jijini Dar es Salaam.

2
Sehemu ya Watendaji walioshiriki kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakipokea maelekezo kuhusu masuala mbalimbali kuhusu utumishi wa umma nchini.
3Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiongoza kikao chake cha kwanza mara baada ya kuapishwa mapema leo IKULU jijini Dar es Salaam.
4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo wakati wa kikao na Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya kuapishwa IKULU jijini Dar es Salaam.
5Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) kuongea na baadhi ya Watendaji wa ofisi yake jijini Dar es Salaam.

No comments