Header Ads

Responsive Ads Here

KAMPUNI YA TRUMARK YATANGAZA VAZI LA BATIKI NA KITENGE NCHINI NETHERLANDSMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo, akiwa ofisini kwake kabla ya kufanyika majadiliano katika mafunzo ya kuongezewa stadi za biashara kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya PUM ya nchini Netherland. Mbali ya mafunzo hayo Kampuni hiyo ilitangaza vazi la Batiki na  Kitenge katika nchi hiyo kupitia mkufunzi wao ambaye alipenda kuona wanafunzi wake wakiwa katika mavazi hayo.

No comments