Header Ads

Responsive Ads Here

KAMPUNI YA TRUMARK YAHITIMU MAFUNZO YA UBORESHAJI UFANISI TOKA NETHERLANDS

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark mara baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Mafunzo hayo yalitolewa kwa wafanyakazi wote wa Kampuni ya Trumark ili kuboresha ufanisi kikazi. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (katikati) akipiga picha jana na cheti maalumu kilichokabidhiwa kampuni hiyo mara baada ya wafanyakazi wake kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka nchi ya Netherlands. Kulia ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchi ya Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers pamoja na Mwakilishi wa PUM Tanzania, Deogratias Mbona (kushoto).

Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark akipokea cheti baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark wakiwa na Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchi ya Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers na Mwakilishi wa PUM Tanzania, Deogratias Mbona wakiwa na vyeti vyao.

No comments