Header Ads

Responsive Ads Here

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, yatoa msaada wa vifaa vya intaneti kwa shule za Sekondari ya mkoa wa Njombe


 
Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga (kushoto) Mkuu wa wilaya Wanging’ombe Ally Kasinge Katikati) Mkuu wa shule ya Sekondari Njombe Benard William  wakikata utepe kufungua kufungua  darasa la kusomea wanafunzi kwa njia ya mtandao. Msaada huo umetolewa jana na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo mkoani Njombe.
Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Ally Kasinge (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe akipokea kifaa cha kupokelea mawimbi ya intaneti kutoka kwa mkurugenzi wa Tigo kanda ya Nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga,   msaada huo umtolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwa ajili ya Shule ya sekondari Njombe.
 
Mkuu wa Wilaya Wanging’ombe Ally Kassinge (wa pili kushoto) akipata maelekezo ya matumizi ya kompyuta zinazo tumia mtandao wa Intanet toka kwa mkurugenzi wa Tigo kanda ya Nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga katika Darasa la wanafunzi wa shule ya sekondari Njombe, Msaada huo umetolewa jana na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo mkoani Njombe.
 

No comments