Header Ads

Responsive Ads Here

Kampuni ya Multi Choice Tanzania yafanya kikao na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari


Meneja Uendeshaji wa kampuni ya Multi Choice Tanzania Baraka Shelukindo (kushoto) akisistiza jambo wakati akiongea na Wahariri kuhusu changamoto na mafanikio ambazo kampuni hiyo imepitia hadi kufikisha miaka 20 nchini jana. Kulia ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo Alpha Mria

Meneja Masoko wa kampuni ya Multi Choice Tanzania Alpha Mria (kulia) akisistiza jambo wakati akiongea na Wahariri kuhusu changamoto na mafanikio ambazo kampuni hiyo imepitia hadi kufikisha miaka 20 nchini jana. Kushoto ni Meneja  Uendeshaji wa kampuni hiyo Baraka Shelukindo.

Meneja Mawasiliano wa Johnson Mshana  Multi Choice Tanzania  akiongea na Wahariri kuhusu changamoto na mafanikio ambazo kampuni hiyo imepitia hadi kufikisha miaka 20 nchini jana

Wahariri wakifuatilia kwa makini mkutano huo

No comments