Header Ads

Responsive Ads Here

JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM


SeeBait

Mvua inayoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam, zimesababisha mafuriko makubwa katika maeneo mbalimbali Jijini humo, ikiwemo eneo la Jangwani ambapo maji hayo yamefunga mawasiliano ya barabara, hakuna gari inayokwenda wala kurudi mjini.

Mpaka sasa mwili wa mtu mmoja mwenye jinsia ya kiume umeripotiwa kuokotwa katika mto kenge uliopo Tabata jijini humo.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amefika katika eneo hilo nakuwataka wananchi kuondoka katika maeneo hayo kwasasa kwakuwa maji yanaendelea kuongezeka.


Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amefika katika eneo hilo nakuwataka wananchi kuondoka katika maeneo hayo kwa sasa kwa kuwa maji yanaendelea kuongezeka.
Mbunge wa Ilala Musa Zungu amefika na kueleza kuwa mafuriko hayo ni makubwa ingawa mpaka sasa hawajapata takwimu sahihi ya uharibifu unaotokana na mafuriko hayo.


No comments