Header Ads

Responsive Ads Here

JAJI KAIJAGE AWATAKA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ILI KUEPUKA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA


Picha 1
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Mjini Dodoma leo. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku tatu ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Kata 43 utakaofanyika Novemba 26 mwaka huu.

Picha 2
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha akiwasimamia wasimamizi na wasimamizi wasidizi wa uchaguzi kula kiapo cha utii wa kanuni na taratibu za uchaguzi kabla ya kuanza kwa mafunzo ya siku tatu yanayoratibiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mjini Dodoma
Picha 3
Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakila kiapo cha utii wa taratibu za uchaguzi kabla ya kuanza kwa mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na kuratibiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mjini Dodoma jana.
Picha na Abdulwakil Saiboko
……………
MwenyekitiwaTumeyaTaifayaUchaguzi (NEC), Jaji (R) SemistoclesKaijageamewatakawasimamiziwauchaguzimdogowamadiwanikuzingatiasheria, kanuninataratibuzauchaguziilikuepukakuisababishiaserikalihasara.
JajiKaijageameyasemahayoleo (Tarehe 15.10.2017) mjini Dodoma wakatiakifunguamafunzoyasikutatukwawasimamizinawasimamiziwasaidiziwauchaguzi.
“…Tusipozingatianakufuatataratibuzauchaguzitunawezakusababishakesinyingizauchaguzinakuitumbukizanchikatikagharamaambazozingewezakutumikakatikahudumazajamii,” ameonyaJajiKaijage.
Mhe. Kaijageamesemakuwahamasakatikasiasaza Tanzania imeongezekasananakwambakumekuanaongezeko la haliyakutokuaminianahaswakatikamchakatowauchaguzinakwambaendapowasimamizihawatafanyakaziyaokwaufasahawataitumbukizanchikwenyematatizomakubwa.
“Mmeaminiwanakuteuliwakwasababumnauwezowakufanyakazihii, kitu cha muhimunikujiamininakujitambua. Pia kuhakikishamnayajuavyemamaeneoyenumnayofanyiakazi, kuhakikishamnawatumiavizuriwasaidizimlionaokwamatokeo bora,” alisema.
JajiKaijageamewakumbushawashirikiwamafunzohayojuuyajukumulao la kuimarishaimaniyawananchikwa NEC, nakwamba Imani hiyoitadumishwaendapowatafanyakazikwauwazi, uhurunakwaufanisiwahaliyajuubilakuegemeaupandewowote.
Ameogezakusemakwambauchaguzinimchakatounaojumuishahatuanataratibumbalimbalizakisherianakikanunizinazopaswakufuatwanakuzingatiwa.
“Hatuanataratibuhizondiyomsingiwauchaguzikuwamzuri, wenyeufanisinausionamalalamiko au vuruguwakatiwamchakatowauchaguzikuanziautoajiwafomu, uteuziwawagombea, uratibuwakampeni, upigajikura, kuhesabukura, kujumlishahesabuzakuranakutangazamatokeo,” alisema.
Aidha, JajiKaijage, amewaasawasimamiziwenyeuzoefukujiepushakufanyakazikwamazoeanabadalayakewazingatiemafunzoambayowatapewanatumepamojanaKatibayaJamhuriyaMuunganowa Tanzania nasheriazinazosimamiauchaguzi.
MkutanohuowaufunguziulihudhuriwanaMkurugenziwaUchaguziwa NEC, Bw. Ramadhan KailimanamaafisawakadambalimbaliwaNEC  pamojanawasimamizi, wasimaiziwasaidizinamaafisawauchaguzi 230ambaowalikulakiapo cha kuheshimumaadiliyauchaguzi.
AwaliBw. Kailimaamesemakwambauchaguzimdogoumepangwakufanyikakwenye Kata 43 tarehe 26 mwenziNovemba, mwakahuu.
“Uchaguzimdogounafanyikakwenye Kata 43 ambazozipokwenyemikoa 19 kwenyeHalmashauri 36 naMajimbo 37 kwahiyouchaguzihuumdogounafanyikakaribiamaeneoyanchinzima,” alisemaKailima
UchaguzihuounatarajiwakuhusishawapigakurawaliojiandikishakatikaDaftari la Kudumu la Wapiga Kura wapatao 336,182 katikajumlayavituovyakupigiakura 893ambapo Kata yenyewapigakurawengiwanafikia 58,622 na Kata yenyewapigakurawachachewanafikia1,402. 

No comments