Header Ads

Responsive Ads Here

IWOBI AIPELEKA NIGERIA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI


nigeria_team
Goli la dakika ya 70 la Mshambuliaji wa Timu ya Arsenal ya Uingereza,Alex Iwobi ameipeleka Nigeria kombe la Dunia mwaka 2018 litakalofanyika nchini Urusi baada ya kuifunga Zambia goli 1-0.

Alex Iwobi (centre) celebrates with his Nigeria team-mates after scoring against Zambia 
Nigeria imefikisha pointi 13 na kuwa Taifa la kwanza kufuzu kutoka bara la Afrika hata hivyo Mpira ulikuwa Mgumu kwa pande zote mbili na Zambia walishindwa kupenya ngome ya wenyeji.
The Nigerian players thanked their fans after securing the victory needed to book their place
Zambia inabidi wajilaum wenyewe baada ya mchezo wa kwanza uliochezwa mjini Lusaka walikubali kichapo cha magoli mawili toka kwa Super Eagle ambao msimu huu walikuwa imara na mpaka sasa hawajapoteza hata mechi moja.

No comments