Header Ads

Responsive Ads Here

INIESTA AONGEZA MKATABA MPYA NA BARCELONA SASA KUZEEKEA HAPO


Kiungo mkongwe na nyota wa Barcelona, Andres Iniesta amesaini mkataba wa maisha na klabu hiyo.

Iniesta amekubali kubaki Barcelona milele na hats baada ya kustaafu ataendelea kufanya kazi mbalimbali za klabu hiyo.
Maana yake, Iniesta hawezi kujiunga na klabu nyingine yoyote.
Iniesta ana vikombe 30 alivyobeba na Barcelona, kikombe cha 30 kikiwa ni kile cha msimu uliopita cha  Copa del Rey.

No comments