Header Ads

Responsive Ads Here

IDADI YA VIFO KATIKA SHAMBULIZI LA RISASI LAS VEGAS YAFIKIA 59, MUHUSIKA WA TUKIO AMEKUTWA AMEKUFA HOTELINI


onge
Idadi ya vifo katika shambulizi la risasi katika hoteli ya Mandalay Bay mjini Las Vegas yafikia 59 na waliojeruhiwa 500.muhusika wa tukio amekutwa amekufa.

Polisi wamemtaja muhusika wa shambulio hilo Stephen Paddock mwenye miaka 64 aliyekuwa anafyatulia risasi katika umati wa watu waliokusanyika katika Tamasha la mziki linalokadiliwa kuwa na watu zaidi ya 22,000  walioshiriki.
 
Muda mfupi baadaye Paddock alikutwa amekufa katika chumba chake hotelini .Polisi wathibitisha.
 
Eric Paddock, kaaka yake na  Stephen amesema kuwa kaka yake hajawahi kuwa na tatizo lolote la akili wala msukumo wowote wa kisiasa.

No comments