Header Ads

Responsive Ads Here

Hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza

Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo. Attachments area Preview YouTube video Upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza Upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza

No comments