Header Ads

Responsive Ads Here

DK.SHEIN AONANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA


DSC_0526
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Mansour Al Malik,alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 16/10/2017.

DSC_0572
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Mansour Al Malik, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 16/10/2017.

No comments