Header Ads

Responsive Ads Here

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI ZANZIBAR


DSC_0831
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Hamd Yussuf akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.

DSC_0833
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Chama cha ACT-Wazalendo kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
DSC_0840
Mwandishi wa Habari wa Star Tv Abdalla Pandu akiuliza maswali katika mkutano wa Chama cha ACT-Wazalendo kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments