Header Ads

Responsive Ads Here

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAKITOA ELIMU MAENEO MBALIMBALI MKOANI KILIMANJARO


PICHA NO 1Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani CPL Juma Selemani, akitoa elimu katika Shule ya Msingi Custom iliyopo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.
PICHA NO 2Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani PC Ndugunamiti, akiwa na Juma Abdallah mwanafunzi wa Shule ya msingi Majengo wilayani Same Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akichangia mada iliyokuwa ikitolea shuleni hapo katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.
PICHA NO 3Mkaguzi wa kikosi cha Usalama Barabarani wilayani Moshi Mshangama Nyangasa, akitoa elimu katika shule ya msingi Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya  nenda kwa usalama Barabarani.

No comments