Header Ads

Responsive Ads Here

Ziara ya Waziri Mbarawa Magomeni

TBA 01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watendaji wa Wakala wa Ujenzi nchini wakati alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

TBA 02
Mkurugenzi wa Huduma za Ushauri toka Wakala wa Ujenzi nchini Daud Kondoro akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati Waziri huyo  alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
TBA 03
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa aliyenyoosha mkono akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
TBA 04
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni mapema hii leo wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
TBA 05
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watendaji wa Wakala wa Ujenzi nchini wakati alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments