Header Ads

Responsive Ads Here

WIZARA YALAANI UTEKAJI NA MAUAJI YA WATOTO MKOANI ARUSHA


TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA KULAANIMAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA
WizarayaAfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inalaani vikali mauaji ya watoto wawili ambao walitekwa na kukutwa wameuawa katika mkoa wa Arusha.

Wizaraimepokea taarifa ya vifo hivyo kwa simanzi kubwa na inalaanivikali mauaji hayo ambayo yamekatisha uhai wa watoto hao katika umri huo mdogo.Mauaji na utekaji waliofanyiwa watoto hawa ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Mtoto ikiwemo haki ya Kuishi ambayo ndiyo hakikuukati ya haki zote.
Wizarainawaasawazazi, walezinajamiikuimarishamifumoyaulinziwawatotokatikangaziyamitaa,vijiji na jamiiilikuwa na mifumomadhubuti katika kudhibiti ukatiliunaofanywadhidi ya watoto na kusababisha majonzimakubwakwawazazi, familianajamiikwaujumla.
Jamii inakumbushwakuwatatizo la utekajiwawatotolinahitajijuhudizapamoja katika kupambana naloilikuzifanya jamii zetu kuwa mahalasalama kwa watotowetu kuishi. Wizaraitaendelea kuimarishaKamatizaulinzinausalamawaMtotokatikangazizakata, vijijinamitaailikuboreshahuduma za ulinziwawatotowetu.
Aidha, Wizara inalipongezaJeshi la Polisikwajitihadazilizofanyikaza kutaka kuwaokoawatotohaowakiwahai, ingawa juhudihizohazikufanikiwa.
Wizarainaombawazazi, walezi, familia, walimunamarafikikuwanamoyo wa uvumilivukatikakipindihikikigumu.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
07/09/2017

No comments