Header Ads

Responsive Ads Here

Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini atembelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mjini Dodoma


Pic 1
Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akishuhudia Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(kushoto) akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo leo Mjini Dodoma.

Pic2
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa (katikati) akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea makao makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Pic 3
Katibuwa NEC Siasa na UhusianowaKimataifaKanali Mstaafu NgemelaLubinga (kushoto) akifafanuajambokwaWaziriwaHabari, Utamaduni , Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia) pamojanaWaziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati) wakatiwaziarayakeMakaoMakuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) leoMjini Dodoma.
Pic 4
Waziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati)akiwa katika picha ya pamojana Waziri waHabari, Utamaduni ,Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(kushoto) nakulianiKatibuwa NEC Siasa na UhusianowaKimataifaKanali Mstaafu NgemelaLubinga, alipotembeleamakaomakuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)leoMjini Dodoma.
Pic 5
Waziri waHabari, Utamaduni ,Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(wapilikulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati)nawatendajiwaWizaraleoMjini Dodoma.
 (PichanaLorietha Laurence –WHUSM)

No comments