Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MAJALIWA,AMJULIA HALI MBUNGE WA NEWALA VIJIJINI RAZAK RASSHID AKBAR ALIYELAZWA KATIKA TAASISI YA JAKAYA KIKWETE MUHIMBILI


IMGL2138
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na mkurugenzi wa taasisi ya African Relief Organization, Wakati  akipokea cherehani ikiwa ni sehemu ya vyerehani 25 vya msaada, zilizo tolewa kwa Wananchi wa Ruangwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 8, 2017, (kulia) ni Mratibu wa miradi wa African Relief Organization Bw. Khamis Mkanachi.

IMGL2150
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza Mwananchi wa Wilaya ya Ruangwa Bw. Anzigar Kambanga, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili Septemba 8, 2017.
IMGL2159
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mbunge wa Newala Vijijini, Razak Rashid Akbar, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili Septemba 9, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments