Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI MAPAROKO WA WILAYA YA RUANGWA NYUMBANI KWAKE OYSTERBAY


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maparoko kutoka Wilayani Ruangwa, wakati alipo waalika kwa ajili ya chakula cha usiku kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 08, 2017, Viongozi hao walimtembelea na kumuaga wakiwa katika maandalizi ya kwenda hija nchini Israel, Jordan na Misri (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments