Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA POLE BI.MAUDIA ABDALLAH NI MJANE WA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA RUANGWA,MAREHEMU SELEMANI BAKARI


PMO_9675
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa Pole, Bi. Maudia Abdaallah ambaye ni Mjane wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Ruangwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM  ya wilaya ya Ruangwa, Marehemu  Selemani Bakari  wakati alipokwenda kuhani msiba huo, Majohe, Ilala jijini Dar es salam Septemba 25, 2017.

PMO_9669
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji  katika msiba wa   Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Ruangwa na Mjumbe wa Halmashauri  Kuu ya CCM wilaya ya Ruangwa , Marehemu Selemani Bakari wakati alipokwenda Majohe wilayani Ilala jijini Dar es salaam kuhani msiba huo, Septemba 25, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments