Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU AMKABIDHI RAIS DKT. MAGUFULI RIPOTI MBILI ZA KAMATI MAALUM ZA BUNGE ZILIZOCHUNGUZA BIASHARA YA TANZANITE NA ALMASI


PIC 1A
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli akipokea  toka kwa Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa  ripoti  mbili za Kamati Maalum  za Bunge zilizofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai.

PIC 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea ripoti  mbili za Kamati Maalum  za Bunge zilizofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PIC 3
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati wa kukabidhi ripoti za  kiuchunguzi  za Biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PIC 4
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa kukabidhi ripoti za  kiuchunguzi  za Biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PIC 5
Mwenyekiti wa Kamati  Maalum ya Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Tanzanite hapa nchini Mheshimiwa  Dotto Biteko akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PIC 6
Mwenyekiti wa Kamati  Maalum ya Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi hapa nchini Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PIC 7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mheshimiwa John Pombe Magufuli (katikati), katika picha ya pamoja na  Waziri Mkuu Mheshimiwa  Kassim Majaliwa (kulia) na Spika wa Bunge Job Ndugai (koshoto),  Mweyekiti wa Kamati  Maalum ya Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi hapa nchini Mhe Mussa Azzan Zungu  na Mweyekiti wa Kamati  Maalum ya Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Tanzanite hapa nchini Mhe Dotto Biteko na Wajumbe wa Kamati zote mbili (waliosimama) mara baada ya kuzipokea ripoti hizo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofisi ya Bunge

No comments