Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI LWENGE AZINDUA BODI MPYA YA MAJI YA BONDE LA ZIWA TANGANYIKA


048A1663Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akitia saini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Mkoa waKigoma. Pembeni yake ni Kaimu Mkuu wa MkoaNdugu Samson Anga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.

048A1699
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi kitendea kazi Mwenyekiti w aBodi mpya aliyoizindua ndugu Lister Kongola.
048A1721
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akizindua jengo jipya la Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Tanganyika na Maabara ya Maji
048A1726Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na Bodi mpya ya Maji ya Bonde la Ziwa Tanganyika na viongozi wengine.
048A1768Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akipewa maelezo ya kuhusu mradi na Mhandisi Mshauri wa mradi Mhandisi Michael Mwamu kinga wakati akikagua mradi wa maji.Kushoto kwake ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ndugu Samson Anga.
……………………..

WaziriwaMajinaUmwagiliaji, MhandisiGersonLwengeleoamezinduaBodimpyayaMajiyaBonde la Ziwa Tanganyika ambapoameitakaBodihiyokusimamiamatumiziendelevuyarasilimalizamajizilizopondaniyabondeilimajiyaweendelevukwavizazivijavyo.
“Bonde la Ziwa Tanganyika nibonde la tatukwaukubwakatikamabondetisayaliyoponchiniambapomabonde 7 nishirikishinabondehililinashirikishanchizaDRC, Kongo, Burundi, Rwanda na Zambia naasilimiasitiniyamajiyanayoingiakatikaZiwa Tanganyika yanatoka Tanzaniahivyobondehilikwa Tanzania tunalitegemeasanandiyomaanatumeundaBodikwasheriayaMaji No. 11 yaMwaka 2009 naBodiisimamiematumiziendelevuyarasilimalizamaji” alisemaWaziriLwenge.
“Bodihiinimuhimusanakwahiyokuteuliwakwenukatikabodisiyokwendakupataposhotunakutowajibikaipasavyobalinikufanyakazitunayoitegemeazakukabiliananachangamotozinazowakabiliwananchi” alisemaWaziri.
AidhaalimtakaMwenyekitiwaBodikuwaanawasilishataarifayaBodikwaWaziriwaMajinaUmwagiliajinaameitakabodihiyokuigakazinzuriiliyofanywanaBodiambayoinamalizamuda wake.
NaeMwenyekitiwaBodiamesemahotubaaliyoitoaWaziriwakatiwauzinduziwaBodihiyowataichukuakamanimaagizokwaoyakuyafanyiakaziyotealiyoyaagizanakuandaamkakatiwautekelezajinapiakutoaripotiyautekelezajimarakwamara.
SanjarinauzinduziwaBodihiyoWaziriamezinduaMajengoyaBodiyaMajiyaBonde la Ziwa TanganyikanaMaabarayaUborawaMaji.
KukamilikakwaujenziwamajengohayokutarahisishautendajikazinaufanisikwawatumishipamojanamaabarahiyokutumikakwakupimauborawamajiiliwananchiwamkoawaKigomawawezekupatamajisafinasalamanakuondokananamagonjwayamilipukokamakipindupindu.
PamojanaUzinduziwaBodinamajengoyaofisi, Waziripiaamekaguachanzo cha majikilichopoAmani Beach nakuwahakikishiawananchikwambautekelezajiwamradihuoupombionikukamilikailiwananchiwaKigomawawezekupatamajisafinasalama. Vile vile, alikaguaujenziwabwawa la majitaka.
KatikaziarahiyoWazirialiongozananaKaimuMkuuwaMkoawaKigomaambayeniMkuuwaWilayayaKigomaNdugu Samson Anga, KaimuKatibuTawalawaMkoaKigomaNdugu, Aziz Mutabuzi, MkuuwaBodiyaMajiyaBonde la Ziwa Tanganyika ChobalikoErastoRubabwanaviongoziwenginekutokamkoaninaofisiyaMaabarayamajiMkoa.

No comments