Header Ads

Responsive Ads Here

WATUMISHI TEA WASISITIZWA KUZINGATIA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA UTENDAJI KAZI


1Mhasibu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Elizabeth Urassa, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

2Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akifafanua Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
3Mhasibu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Magreth Semiono, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
4Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akisisitiza jambo kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) (hawapo pichani) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
5Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akiowaonyesha watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) (hawapo pichani) Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

No comments